GET /api/v0.1/hansard/entries/700846/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 700846,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/700846/?format=api",
"text_counter": 358,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "wapwani tuko na mwangaza mbele yetu kwa sababu ya yale mambo ambayo yanaendelea kufanyika. Mimi ninafuraha kama tasa aliyepata mapacha. Nimeona mama mmoja aliyejifungua watoto 11; ni raha iliyoje? Sisi watu wa Pwani ni kama tumepata mapacha. Bw. Spika wa Muda, ni lazima tuwaambie watu wetu ukweli kulingana na yale yanayotendeka. Ni lazima watu wetu wafungue macho ili wasiambukizwe maradhi ambayo walioyaanzisha wameanza kupona. Ninafuraha na bashasha tele ninaposimama hapa. Naomba mwenyezi Mungu aturudishe sote salama salimini kwenye Seneti ili tutatue shida za watu wetu. Naunga mkono Hoja hii."
}