GET /api/v0.1/hansard/entries/700995/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 700995,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/700995/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "tukiangalia Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, tuna lawama na aliyekuwa mkuu wa CBK ambaye ameshastaafu. Alipitishwa hapa hapa baada ya lawama nyingi. Mnataka tena tufanye hivyo? Naomba iende katika nakala za Bunge na iwekwe wazi kuwa Mhe. Mwadeghu, siku hii ya leo, alitoa msimamo wake. Kwa haya mengi, ninapinga Ripoti hii. Asante."
}