GET /api/v0.1/hansard/entries/701114/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 701114,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/701114/?format=api",
    "text_counter": 249,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "Shukrani Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Nafikiri sikosei kwa sababu kama Mheshimiwa angekuwa anaelewa Kiswahili vizuri angejua kuwa nimesema chama cha ODM na wala si chama cha ODM pekee ndicho kilitetea ugatuzi. Tulikuwa katika msitari wa mbele katika kutetea ugatuzi. Naomba pia niongezee dakika moja kwa sababu nimekatizwa na haya mambo ni muhimu"
}