GET /api/v0.1/hansard/entries/701129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 701129,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/701129/?format=api",
    "text_counter": 264,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13134,
        "legal_name": "Sara Paulata Korere",
        "slug": "sara-paulata-korere"
    },
    "content": "wafugaji wanaotoka kaunti jirani kwa sababu ya kule kutaka kulisha mifugo wao kwa lazima katika maeneno ambayo sisi wenyewe tumehifadhi. Tunapoendelea ni kwamba kaunti jirani pia waketi chini na kujaribu vile watatatua tatizo hili la baa la njaa. Pia, naomba na kusema kwa unyenyekevu kwamba Serikali kuu iangazie maeneo kama Samburu, Laikipia, Isiolo na yale mengine yamekumbwa na hili baa la njaa. Ninapozungumza, kuna shule nyingi ambazo huenda zikafungwa kwa sababu ya watoto kukosa kulipa karo. Kama hawalipi karo, hawatapata lishe. Jinsi tunavyojua, baadhi ya wale wafugaji wanategemea soko la wanyama ili kuuza wanyama wao wakimu mahitaji yao ya maisha kama kulipa karo na kununua chakula. Hivi sasa, mifugo hao wamedhoofika sana na hamna soko la kuuza hawa mifugo. Pia tunaomba Kenya Meat Commission (KMC) wanunue hawa mifugo kwa ile inajulikana kama"
}