GET /api/v0.1/hansard/entries/701149/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 701149,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/701149/?format=api",
    "text_counter": 284,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie Hoja hii. Nashukuru Mhe. Nooru na hata mimi ni mmoja wa wanakamati wake. Kwa kweli kuna mambo ambayo tunashindwa kuelewa kwa sababu tunayazungumzia kila mwaka. Haya mambo yanahusu njaa, maji na wafugaji. Ningependa kusema kwamba ile shida tuko nayo kubwa sana kwenye kaunti zetu ni kuhusu wafugaji. Mambo ya njaa na kukosa maji yamezidi na hata shida kubwa ni kwamba wanyama wa pori wanang’ang’ania hayo maji kidogo na wananchi."
}