GET /api/v0.1/hansard/entries/701446/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 701446,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/701446/?format=api",
"text_counter": 288,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, asante sana kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia Hoja hii. Kwanza, nina shukuru Kamati yetu ya Ugatuzi au ya serikali za mashinani kwa kuwasilisha ripoti hii muhimu mbele ya Seneti. Kaunti zote zinahitajika kupewa uwezo zaidi wa kusimamia barabara, mashamba, misitu na mazingira kwa jumla. Tunaona vitengo vingi sana vimeweza kuchukuliwa na Serikali ya Kitaifa. Jukumu la Seneti liko katika Kipengee 99 cha Katiba ya Kenya. Ni lazima kipengee hicho kizingatiwe kwa makini sana. Sisi tuwepewa uwezo na mamlaka ya kusimamia serikali zetu za mashinani. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa Serikali ya Kitaifa inasimamia barabara, misitu na mashamba katika kaunti zetu. Uwezo huu ni wa serikali za mashinani. Seneti ni lazima ihakikishe usimamizi huu umepelekwa kwa kaunti zetu. Barabara za vichorochoroni ni kazi ya serikali za mashinani. Ni huzuni kuona wananchi hawaelewi kazi ya Seneti. Lakini sisi tunajua kazi yetu ni muhimu sana hapa nchini. Ni lazima tuhakikishe serikali za mashinani zimepewa pesa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}