GET /api/v0.1/hansard/entries/701448/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 701448,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/701448/?format=api",
"text_counter": 290,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "za kutosha za kufanya maendeleo. Bila Bunge la Seneti hakuna senti zinaweza kupelekwa katika serikali zetu za mashinani. Kwa hivyo, ni muhimu watu kuelewa kwamba Bunge la Seneti ndilo Bunge linaloweza kuangalia ugavi wa pesa zinazokwenda katika serikali zetu za mashinani. Kwa mfano, barabara ya kutoka Mtwapa hadi Malindi kuna sehemu ambayo imeharibika sana. Ikiwa Serikali ya Mashinani ya Kilifi inaweza kupewa pesa za kutosha inaweza kuikarabati vilivyo. Bw. Spika, ni matumaini yangu ikiwa ripoti hii itapitishwa na Bunge hili la Seneti, basi vitengo vya kutengeza barabara, kuangalia mashamba au misitu itakuwa mikononi mwa serikali za mashinani. Wananchi wetu watakuwa na maendeleo mengi sana kule mashinani. Tunaona mara nyingi watu wengi katika Kipengele cha (99)---"
}