GET /api/v0.1/hansard/entries/701538/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 701538,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/701538/?format=api",
"text_counter": 380,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Spika, nashukuru. Nitachukua dakika moja. Gavana wa Nairobi hana habari kwamba maji yanakuja. Kwa hivyo, namwambia Mhe. Rais na Serikali yake atumie hiyo pesa kusafisha Mto Athi ambayo iko karibu na alete hapa Nairobi. Mto Sagana utengenezwe ili maji ije Nairobi. Maji iko hapa Tana River na Masinga Dam. Hii mito tatu inatosha kutupatia maji hata ya kufanyia kilimo katika taifa letu nzima. Kwa nini kuenda mahali hakuna maji na kunyanyasa wananchi? Naunga mkono. Nashukuru Sen. (Prof.) Anyang’-Nyong’o kwa kuleta Hoja hii hapa."
}