GET /api/v0.1/hansard/entries/702578/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 702578,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/702578/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Ndugu yangu Mheshimwa ananikumbusha kuwa nyege ni kunyegezana. Kunyegezana lazima kuwe na mume na mke. Hakuwezi kuwa na jinsia moja. Kwa hivyo, lazima tujue ya kwamba hizi sheria tunazileta kwa sababu tunataka kesho wale akina mama ambao watakuwa wamejengwa uwezo kwa kupitia sheria hii wawe na nguvu na tajiriba ili waweze kushindana na akina baba, tuwe tuko sawasawa. Ni aibu sana tukiangalia nchi jirani kama Rwanda, Uganda na Tanzania. Akina mama wamejengwa uwezo na wameingia katika viti vile vya kuweka maamuzi katika taasisi za umma katika nchi zao. Sisi Wakenya ambao tumebobea, tukienda Tanzania tunaambiwa kuwa tuko juu lakini, tunataka kujibwaga kwa sababu ya kuleta sheria ambazo hazieleweki. Sheria ambazo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}