GET /api/v0.1/hansard/entries/702583/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 702583,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/702583/?format=api",
    "text_counter": 130,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Kwa hayo mengi ama machache, naomba jamani mtuunge mkono hata mkibadilisha na kuweka hicho kilma ‘ progressive ’. Lakini kama hamutaweza kugeuza kile Kipengele cha 97 ambacho kinazungumzia muundo wa Bunge utakuwa na akina nani, ikiwa hamutakuwa mumezungumza na kutupatia njia mwafaka, tutakuwa tumefanya kazi ambayo haitakuwa na mshahara. Kwa hayo mengi ama machache, mwendo utakuwa ni ule wa aste aste ama kama ni wa kobe, tuungane mikono pamoja Kenya isonge mbele. Asanteni. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}