GET /api/v0.1/hansard/entries/70265/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 70265,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/70265/?format=api",
    "text_counter": 265,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ninataka thibitisho juu ya mkutano wa faragha uliofanyika kati ya Bw. Ocampo, Waziri Mkuu na mhe. Rais wa Jamhuri ya Kenya. Inadaiwa katika mkutano huo, Bw. Ocampo aliwataka Waziri Mkuu na mhe. Rais kutia sahihi mkataba kuwa hawatakuwa vizuizi au pingamizi juu ya kukamatwa na kushitakiwa katika korti la kimataifa washukiwa wakuu wa ghasia na fujo iliyokumba nchi hii baada ya uchaguzi mkuu. Je, ni ukweli Waziri Mkuu alikuwa tayari kuweka sahihi kukubaliana na mkataba huo na huko Rais akikataa kutia sahihi mkataba huo? Je, huo ni ukweli wa mambo yaliyotokea katika mkutano huo wa faragha au ni porojo?"
}