GET /api/v0.1/hansard/entries/70288/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 70288,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/70288/?format=api",
"text_counter": 288,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu wa Spika. Ningependa kumuuliza Waziri Mkuu afafanue jambo hili. Tukiwa hapa kama viongozi, tuna wajibu wa kuwaambia Wakenya ukweli. Jambo ambalo liko mbele yetu hivi sasa linatoa mtaharuko mkubwa sana, na limefanya Bunge hili lisiendelee na shughuli nyingine. Ningependa Waziri Mkuu afafanue kinaganaga kwamba kwa kweli jambo ambalo lilo mbele yetu lilisababishwa na uchaguzi wa mwaka 2007. Kwenye orodha ya wale watu walioweza kuhojiwa na Bw. Ocampo, hakuna hata mmoja wa vinara waliotaka uongozi wa nchi hii. Yeye, kama kiongozi, na wale viongozi wengine, wangekuwa katika msitari wa mbele na kujitolea kutoa ushahidi. Imekuwaje"
}