GET /api/v0.1/hansard/entries/70290/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 70290,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/70290/?format=api",
"text_counter": 290,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "mtu aliyetoa amri ya kulindwa, kupigiwa kura na kusema kwamba kura zake ziliibiwa, na kura za mwingine hazikuibiwa, asiwe kwenye orodha ya Bw. Ocampo, na wale waliokuwa “wakifagia” barabara wawe ndio walio kwenye ile orodha? Tunataka jambo hili lifafanuliwe kwa kinaganaga kwa sababu hatutaki kukaa hapa na kucheza mchezo wa paka na panya."
}