GET /api/v0.1/hansard/entries/703288/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 703288,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/703288/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 758,
"legal_name": "Boy Juma Boy",
"slug": "boy-juma-boy"
},
"content": "Bw. Spika, nikiongezea, nimemsikia Mwenyekiti akisema ya kwamba wakati wamahujiano, majina matatu yatawasilishwa kwa Waziri. Naye Waziri, atachagua moja kati ya hayo matatu au pia ayawache.Faida gani kufanyiwa mahojiano wakati Waziri hatachukua hata jina moja? Pili, atueleze iwapo kumekuwa na mahojiano na majina matatu kupelekwa kwa Waziri? Aseme ukweli wala asidanganye. Wee, sema ukweli!"
}