GET /api/v0.1/hansard/entries/704431/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 704431,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/704431/?format=api",
"text_counter": 17,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, naunga mkono ndugu zangu. Kwanza, nakushukuru sana kwa uamuzi uliofanya kuruhusu wafanyakazi wa kutoka Kaunti ya Kilifi kuja ili kujifundisha na kujionea jinsi Seneti inavyoendesha shughuli zake. Watapa mafunzo ya kutosha na wanaporudi nyumbani, nina hakika watafurahia kutokana na watakayojifundisha hapa. Pili, Bw. Spika, ninakushuru kwa kukubali mwito. Waswahili husema kwamba mtu hakatai mwito, hukataa analoitiwa. Wewe ulikuja kwa kukubali mwito na ulijionea wazi kwamba Serikali ya Kaunti ya Kilifi inawania kufanya kazi ya ugatuzi kisawasawa ili kuhakikisha kaunti zingine zinaiga mfano wake. Bw. Spika, asante sana. VISITING DELEGATION OF PUPILS AND TEACHERS FROM MUTHURWA ISLAMIC ACADEMY, NAIROBI COUNTY"
}