GET /api/v0.1/hansard/entries/704512/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 704512,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/704512/?format=api",
    "text_counter": 98,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Bw. Spika, namshukuru Mwenyekiti wa Kamati yangu kwa kusema maneno ambayo si ya kweli. Hata kama wewe ni kichaa, utajua wazi kwamba lugha iliyotumika haifanani kabisa. Itakuwaje mito mitatu inayoleta maji kwa bwawa moja ibadilishwe mikondo kisha utarajie kwamba kiwango cha maji kitakuwa sawa? Huo in uongo mtupu. Pili, Mwenyekiti wangu hakutueleza gharama ya handaki hilo. Tulisikia kuwa itagharimu Ksh2 billion na sasa wengine wanasema itagharimu Ksh4 billion. Hajatupa ukweli wa gharama hiyo na kutuambia kwa nini imepanda."
}