GET /api/v0.1/hansard/entries/704548/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 704548,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/704548/?format=api",
"text_counter": 134,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika. Ndivyo nilivyofanya. Nimeyameza na nikaomba msamaha. Nimesema nilikosa kuyatamka manaeno hayo. Lakini sio ukweli nimeondoa uongo na nikaweka ukweli. Kwa hivyo, naomba msamaha kwa lugha hiyo na huo ndio ukweli wa maneno."
}