GET /api/v0.1/hansard/entries/704549/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 704549,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/704549/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Khalwale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 170,
        "legal_name": "Bonny Khalwale",
        "slug": "bonny-khalwale"
    },
    "content": "Bw. Spika, kwa hoja ya nidhamu: Imekuwaje leo unamuuliza Sen. Boy Juma Boy awajibike kwa matamshi yake kwa jambo ambalo limekuwa limepitwa na wakati. Hili ni jambo kulingana na mpangilio wa Kanuni za Bunge leo ilistahili kwamba Seneta Mwenyikiti asimame kwa hoja ya nidhamu wakati ule ule. Imekuwa aje umependua taratibu ya kufanya shughuli katika Bunge hili?"
}