GET /api/v0.1/hansard/entries/704832/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 704832,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/704832/?format=api",
"text_counter": 99,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Sijui kama nimemuelewa vizuri Mwenyekiti aliposema kwamba hawezi kutoa matokeo au majibu ya wale waliofanyiwa mahojiano. Bunge la Seneti linahitaji kupata jawabu kikamilifu. Ni lazima Mwenyekiti atueleze kama kuna siri ambazo anaficha Bunge hili kuhusiana na uteuzi wa wakuu wa vyuo vikuu vyetu. Je, ni haki au sawa kwa Mwenyekiti kufanya hivyo? Ikiwa Bunge hili limeuliza maswali kikamilifu, ni lazima swali lijibiwe? Ni haki yeye kutuambia kuna siri fulani ambayo hawawezi kutuambia?"
}