GET /api/v0.1/hansard/entries/704924/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 704924,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/704924/?format=api",
    "text_counter": 191,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Bule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1029,
        "legal_name": "Ali Abdi Bule",
        "slug": "ali-abdi-bule"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, natakakusema ya kwamba, Serikaliiko na uwezekano ya kusaidia watu Tana River lakini haitaki kwa sababu kuna mradi wa kunyunyuzia maji wa Bura, Galole katika MtoTana. Kwa hivyo, iko kando yake. Mradi huo wa kunyunyuzia hauwezi kuwalisha watu wa Tana River na Bura kwa sababuS erikali imeshika mkono wa kushoto kwa watu wa Tana River. Kwa hivyo, Serikali isaidie watu wa Tana River. Pia, kuna mradi wa kunyunyuzia maji wa Galana lakini hauwasaidi watu wa Kaunti ya Mto Tana."
}