GET /api/v0.1/hansard/entries/705780/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 705780,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/705780/?format=api",
    "text_counter": 77,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": ". Hii ni kwa sababu kuna wale ndugu wanaouliza maswali na jibu linapopatikana, inakuwa tena shughuli ya kumtafuta yule aliyeuliza swali. Hii hutendeka hata baada ya kumpatia stakabadhi ama majibu ya yale maswali. Kitu kingine ni kwamba kuyapata majibu ya yale maswali pia huchukua muda. Sijui kama utatupatia mwelekeo kuhusu jambo hili. Hii itatusaidia kuhakikisha kwamba anayeuliza swali lazima awe kwenye Bunge hili."
}