GET /api/v0.1/hansard/entries/705782/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 705782,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/705782/?format=api",
    "text_counter": 79,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Bw. Spika, kufuatana na pendekezo la Sen. Madzayo, ningependa kukujulisha ya kwamba niliamurishwa na Kiti chako kwamba nilete habari kuhusu uzembe wakuiba katikaWizara ya Afya majuma mawili yaliyopita. Lilikuwa swala la Sen. Wetangula.Niliamurishwa na nimejitayarisha leo, lakini utaona ya kwamba sikuorodheshwa katika orodha ya maswala yaliyotakikana. Hii ni vyemakweli?"
}