GET /api/v0.1/hansard/entries/710530/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 710530,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/710530/?format=api",
"text_counter": 63,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mhe. Spika, ninashukuru kwa muda huu ambao umenitunukia nijibu mawili matatu ambayo yameletwa na Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni. Ninamheshimu na nitaendelea kumheshimu. Lakini, haimaanishi kuwa ana majukumu ya kutuambia msimamo wetu utakuwa upi kulingana na muongozo wa nchi."
}