GET /api/v0.1/hansard/entries/710533/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 710533,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/710533/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "anasimama kusema: “Nimeambiwa yawe haya na haya.” Tunakubaliana na muongozo wake. Kwa hivyo, hana mamlaka yoyote ya kutuelekeza. La pili, ninaomba niweke bayana kwmaba ni kweli wala sitaki kukana kuwa nimetuma huo ujumbe. Nimeuzungusha lakini sikukaa nikautunga. Bila shaka, tumekaa tukajadiliana, nikatoa muelekeo na nikaupeleka. Umesikia Mhe. Midiwo akisema yeye hajapata huo ujumbe. Kwa hivyo, maadamu ameamua anaenda Mombasa, anaenda. Hakuna yeyote ameambiwa asiende Mombasa."
}