GET /api/v0.1/hansard/entries/710535/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 710535,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/710535/?format=api",
    "text_counter": 68,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Sheria za Bunge zinasema niko na uhuru wa kuzungumza lugha ya Kiswahila ama ya Kizungu. Nimeamua nizungumze kwa lugha ya Kiswahili ambayo ni lugha yangu na ninaielewa. Wala ninyi wa upande ule msifikiri kuwa Kizungu sikiwezi. Kizungu ninakiweza lakini nimeamua nitumie Kiswahili. Sasa, kitu kinachowawasha ni nini? Mnawashwa na nini? Pilipili usiyoila yakuwashiani? Wachana nayo! Wachana nayo, whether umeelewa--- Kama uko hapa Bungeni, unatakiwa uwe unajua Kiswahili. Wewe ni Mkenya na huelewi Kiswahili. Ni Mkenya wa aina gani ambaye haelewi Kiswahili? Jamani, ninaomba nijieleze na nijifahamishe."
}