GET /api/v0.1/hansard/entries/710537/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 710537,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/710537/?format=api",
"text_counter": 70,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Tumesema, kwa maoni yetu, kongamano hili, si eti tumelipuuza. Ninaomba tuelewane; hatukulipuuza. Tunasema kwamba wakati huu ambapo kuna mambo mengi ambayo yanatokea, hatuoni kama hilo kongamano, vile limekuja, litakuwa na maslahi tulivyokuwa tunatarajia. Kama mheshimiwa mwenzangu alivyoeleza, kuna mambo kadha wa kadha ambayo yanatukera, na yanakumba nchi hivi sasa. Mambo ya ufisadi yametukera. Yako ndani. Tunauliza kwa nini tusiwe tunazungumzia mambo hayo kwanza ndio twende kwa kongamano hilo? Nchi inataka kuzama. Sio CORD inataka kuzamisha nchi. Ni upande huu mwingine wa Jubilee unataka kuzamisha nchi. Na nini? Na wizi. Sasa mnataka mfanye wizi, na mnataka mtuhusishe ndani. Tumekataa na tutaendelea kukataa. Tumekataa na tutaendelea kukataa. Ninaomba mnielewe."
}