GET /api/v0.1/hansard/entries/710539/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 710539,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/710539/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Ninazungumza Kiswahili, lugha ambayo unatakiwa uelewe hata kama wewe ni mbabe wa kivita. Hata kama wewe ni mbabe wa kivita, ninaomba mnielewe na ninaomba mnisikize kwa sababu huu ni wakati wangu. Mara nyingi mmenichukulia kwa kero kuwa Mwadeghu ni mpole na mnaweza kumsukuma Mwadeghu mpaka hapa. Hamjui Mwadeghu yule mnazungumza naye. Leo utajua kuwa mimi ninaweza kuwa mbabe. Ninaomba niseme haya. Wacha niwapashe na niwapashe sawasawa maana mna uzoefu mbaya. Mna uzoefu wa kuona kuwa mnaweza kutusukuma---"
}