GET /api/v0.1/hansard/entries/711030/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 711030,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/711030/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika, Mhe. wa Kiharu anataka kupotosha Bunge. Ukija katika kaunti yetu ya Taita Taveta utapata watu wanapata fedha kwa kuhifadhi miti. Kwa hivyo, kutojua kwake na kutoelewa kwake kusije kukajumuishwa kuwa nchi yote ya Kenya haina ufahamu kama yeye. Ninaomba Mhe. wa Kiharu asipotoshe Bunge kwa kutojua yaliyoko nchini."
}