GET /api/v0.1/hansard/entries/711193/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 711193,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/711193/?format=api",
    "text_counter": 304,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Naomba niongeze kwamba Serikali kuu pia imeanza kujenga makao yake hapo hapo Mwatate. Kwa hivyo, tukiacha makao makuu yetu yaende pahali pengine, itakuwa tunafanya wananchi wapate shida ya huduma kwa sababu wakienda Serikali kuu, watakuwa Mwatate, wakienda kwa serikari ya ugatuzi, watapanda kule juu Wundanyi. Hapo ndio inaleta shida."
}