GET /api/v0.1/hansard/entries/711826/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 711826,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/711826/?format=api",
"text_counter": 83,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wekesa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2742,
"legal_name": "David Wafula Wekesa",
"slug": "david-wafula-wekesa"
},
"content": "Kuna Wasomali wanaotoka Somalia ambao wamezaliwa Kenya wakiwa katika kambi za wakimbizi. Huenda ikawa, kwa kuwa wamekuwa Kenya kwa muda mrefu, wametumia mbinu nyingine za kupokea stakabadhi za kuthibitisha kuwa ni Wakenya, na watatumia nafasi hiyo kupata uraia wa Kenya. Ninaunga mkono Mswaada huu."
}