GET /api/v0.1/hansard/entries/712378/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 712378,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/712378/?format=api",
"text_counter": 381,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Asante sana Naibu Mwenyekiti wa Muda. Ninataka kumpongeza Mwenyekiti Chepkongāa kwa kufikiri kuwa kuna umuhimu wa jambo hili. Tangu Katiba mpya iwepo hapa nchini mwaka wa 2010, Wakenya wengi wamejitokeza wakikimbilia kortini hata bila sababu. Hivyo basi kipengele hiki kitamwezesha Spika wetu kufanya kazi bila hali ya wasiwasi."
}