GET /api/v0.1/hansard/entries/713042/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 713042,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/713042/?format=api",
    "text_counter": 24,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi hii. Nawashukuru wananchi wa Nyamira ambao wametuma Petition yao hapa. Hii ni dhihirisho ya kwamba Wakenya wamechoka, hawana nguvu na pia hawana pa kwenda. Wananchi hawa wako na mwakilishi wao hapa, ambaye ni Seneta, lakini hawawezi kuandika hiyo Petition kupitia kwake. Wanaona ni heri wakimbie mbele ya Bunge la Seneti ndiposa waweze kusaidika. Wizi wa hela za Serikali hapa Kenya umepita mipaka na Wakenya hawajui pakuenda. Juzi tumedhihirisha katika taarifa iliyosema kwamba kibunda cha pesa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}