GET /api/v0.1/hansard/entries/715901/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 715901,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/715901/?format=api",
    "text_counter": 263,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chelule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13126,
        "legal_name": "Liza Chelule",
        "slug": "liza-chelule"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika kwa kunipatia nafasi hii niweze kuchangia kwa mambo ambayo yana husu uchaguzi katika nchi yetu ya Kenya. Kwanza,ningependa kukupongeza kwa kutuongoza kwa njia ambayo nafikiri wananchi wote wameona ni mwelekeo mzuri sana kutoka kwa viongozi ambao wamechaguliwa kuketi kwenye Seneti. Mambo ambayo tumekuwa tukiongelea leo ni mjadala ambao unahusu uchaguzi katika nchi yetu ya Kenya. Haya mambo iyamaana kushinda matarajio ya mtu mmoja. Ninajua ya kwamba Kamati husika ambazo zitaongelea yale mabadiliko katika sheria zinazohusu mambo ya uchaguzi zitafanyakazi nzuri.Tunajua watatupatia jawabu nzuri.Sisi tumesimama kama Seneti tukijua kwamba jukumu letu nikutengeneza sheria. Inafaa tuketi kama maseneta na kutengeneza sheria ambazo zitaboresha mambo ya uchaguzi katika nchi yetu ya Kenya.Sioni sababu ya viongozi wengine kusema ya kwamba kutakuwa na maandamano. Mambo ya kutekeleza na kutengeneza sheria The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}