GET /api/v0.1/hansard/entries/715903/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 715903,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/715903/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ambayo inahusu uchaguzi, inatengenezwa kulingana na mapendekezo ya wananchi wa Kenya. Tukependa mapendekezo ambayo yataleta amani na utulivu katika nchi yetu ya Kenya. Umetuongoza kwa njia nzuri naninajua ya kwamba tutapata jawabu nzuri kutoka kwa kamati husika ambayo hii kazi imewekwa mbele yao adhuhuri ya leo. Tunafurahi kwa sababu tunajadiliana kwa amani bila mapigano. Wananchi wa Kenya walikuwa wakitarajia ya kwamba masenata pia watapigana kama wale Wabunge wa National Assembly. Lakini sisi kama maseneta tunaelewana kwa sababu tumeketi hapa kwenye Seneti kwa mnajili ya mwananchi wa Kenya."
}