GET /api/v0.1/hansard/entries/71659/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 71659,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/71659/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Bw. Spika, ninamwomba Waziri athibitishe katika hili Bunge kwamba huu sio mmoja wa unyanyasaji ambao watu wa Pwani wamepata kutokana na shtuma na vitendo vya watu kama Waziri vya kuchukua ardhi ya wenyewe na kuja Nairobi kuchukua vyeti vya umiliki na kuenda kuwahamisha."
}