GET /api/v0.1/hansard/entries/71660/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 71660,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/71660/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Otuoma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 132,
"legal_name": "Paul Nyongesa Otuoma",
"slug": "paul-otuoma"
},
"content": "Bw. Spika, nimetoa cheti cha umiliki wa ardhi hii. Cheti hicho kinaonyesha kwamba Idara ya NYS imekuwa pale zaidi ya miaka 40. Cheti hicho kinaonyesha eneo ambalo walikuwa wametengewa kwa kazi yao. Pia, idara hii si ya mtu binafsi. Ni idara ya Wakenya ambayo inashughulikia vijana wa Kenya. Kwa hivyo, hatuwezi kujaribu kuwasaidia Wakenya na iwe ni sisi tunaenda kuwanyanyasa Wakenya."
}