GET /api/v0.1/hansard/entries/717629/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 717629,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/717629/?format=api",
    "text_counter": 50,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadime",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2451,
        "legal_name": "Andrew Mwadime",
        "slug": "andrew-mwadime"
    },
    "content": "Najua kwamba Wakenya wote wamejitokeza kujiandikisha kupiga kura. Ningeomba watoke na kujisajirisha kwa wingi. Vile vile, Tume ya Uchaguzi na Mipaka au Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) yafaa ijaribu kuangalia mahali kuna utata. Niliona mtu mmoja wa eneo langu la Uwakilishi Bungeni akijaribu kutumia kadi za watu wake ambao wamefariki na jambo la kushangaza ni kwamba bado hayo majina yamo katika orodha ya wapiga kura."
}