GET /api/v0.1/hansard/entries/717632/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 717632,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/717632/?format=api",
    "text_counter": 53,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadime",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2451,
        "legal_name": "Andrew Mwadime",
        "slug": "andrew-mwadime"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Spika kwa uongozi wako. Vile nimesema, naunga mkono wote waliochaguliwa kwa sababu wanauzoefu wa kazi na wataendelea na kazi kwa ule muda mfupi ambao umebaki hapa Bungeni. Ni heri wamalize kipindi. Mwaka huu una mambo mengi. Kwa hivyo, ningeomba IEBC ijaribu kuangalia mahali kuna tatizo na kujaribu kutafuta suluhu, kama vile jana tulikua tunajaribu na mmoja wa wanaeneo Bunge langu vitambulisho vya watu waliofariki. Alipojaribu kuviweka katika zile mashini alipata bado majina yapo kwa orodha. Ni vyema IEBC iondoe majina ya watu waliofariki kutoka orodha ya wapiga kura. Mhe. Spika, asante sana kwa kunipa fursa hii."
}