GET /api/v0.1/hansard/entries/717770/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 717770,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/717770/?format=api",
    "text_counter": 81,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mara nyingi nimeona Mheshimiwa Spika amesimama na naona Mbunge anatembea tembea ndani ya Bunge. Inamaanisha mpaka sasa hawajachukua nafasi ya kuelewa shughuli na mpangilio wa Bunge. Naomba wakati huu Mheshimiwa Spika hawa Wabunge ambao wamekaa hapa miaka minne na mpaka leo hawajaelewa--- Mmoja alikuwa anasimama mbele yangu wakati nilikuwa ninazungumza akikuzuia usinione."
}