GET /api/v0.1/hansard/entries/717776/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 717776,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/717776/?format=api",
"text_counter": 87,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Wale ambao mmeamua mnarudi hapa, wakati ndio huu ambao umebaki mchangie kikamilifu ule wajibu ambao mmepatiwa na umma kushughulika katika utungaji sheria na kuwajibika wakati wa ugawaji wa pesa. La sivyo, wengine wenu mtakuwa mnasema mmekaa hapa miaka minne lakina hakuna kitu chochote cha kuonyesha. Lakini wengi wamefanya kazi ya kuridhisha na ninawapongeza."
}