GET /api/v0.1/hansard/entries/717778/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 717778,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/717778/?format=api",
"text_counter": 89,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Hata hivyo, kwa muda mfupi ambao umebaki itakuwa ni wajibu wa kila Mbunge kuhakikisha ameangalia wastani wa muda wake. Ni muda upi utatumia kwa shughuli za Bunge na ni upi utatumia kuangalia maslahi na miradi yako ambayo imebaki?"
}