GET /api/v0.1/hansard/entries/718582/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 718582,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/718582/?format=api",
"text_counter": 270,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, najulikana kwa kusema ukweli. Hata nikiwa pale nipo, huwa na vita vingi sana kwa sababu mimi ni mtu wa kusema ukweli. Mimi si mtu wa kuambiwa nifanye bila kufikiria. Kuna msemo wa Kiswahili husema akili ni nywele na hakuna asiye na nywele zake kwa kichwa. Umefika wakati sisi watu na nywele zetu kusema tuna fikira zetu kufikiria jambo nzuri na jambo mbaya."
}