GET /api/v0.1/hansard/entries/718583/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 718583,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/718583/?format=api",
"text_counter": 271,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Kwa hivyo, naipinga na ninasema hata haihitajiki kuizungumzia katika hili Bunge. Kama tungekuwa wengi, nafikiri hili ni jambo ungesema uweke swali tu na tujibu. Kuna mambo muhimu yaliyo mbele yetu; kuna mambo ya njaa, kuna mambo ya ukame. Tunapoteza wakati kama Wabunge ambao tumechaguliwa kwa mambo ambayo hayaongezi; ni ya kuharibu. Kwa hivyo kama ni fikira zangu isipokuwa siwezi kaa kwa kiti chako kwa kuwa tunakuheshimu, kama ningepata nafasi ya kusimama hapo, ningeweka swali la kusema tuutupilie mbali ama tuendelee. Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}