GET /api/v0.1/hansard/entries/718966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 718966,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/718966/?format=api",
    "text_counter": 83,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Asante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipa hii nafasi nichangie Hoja hii inayohusu vitambulisho na kadi za kura. Sisi kama viongozi inatubidi kuhakikisha kuwa Wakenya wote wamepata vitambulisho na kadi za kura. Lakini jinsi mambo yanavyoendelea katika nchi yetu si sawa. Mimi ninatoka jamii ya wafugaji. Watu wetu wote ambao wanavyo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}