GET /api/v0.1/hansard/entries/718991/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 718991,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/718991/?format=api",
    "text_counter": 108,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Chea",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1694,
        "legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
        "slug": "mwinga-gunga-chea"
    },
    "content": "Shukrani sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa niungane mkono na wenzangu kuunga mkono Hoja hii ambayo imeletwa hapa na Mhe. Njomo. Hoja hii inazungumzia ushawishi katika masuala ya uandikishaji wa kura. Ukipata fursa ya kuisoma, utaona kwamba leo inazungumza kuhusu kushawishi watu kuchukua kura na baadaye pia waweze kuhusika katika uchaguzi mkuu bila shaka hapo Agosti mwaka huu."
}