GET /api/v0.1/hansard/entries/718992/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 718992,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/718992/?format=api",
    "text_counter": 109,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Chea",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1694,
        "legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
        "slug": "mwinga-gunga-chea"
    },
    "content": "Jinsi tunavyojadili Hoja hii, ni lazima tuiangalie mara mbili. Kwanza kwa sasa vile tutazungumza na watu mpaka wachukue kura na bila shaka baadaye njia gani zitatumika ili waweze kuhusika katika uchaguzi mkuu. Ninasema haya kwa sababu nimeona sana wengi wa Waheshimiwa wakizungumza tu juu ya suala la kushawishi watu kuchukua kura. Baadaye ni lazima washawishiwe jinsi gani watakaoweza kupiga kura."
}