GET /api/v0.1/hansard/entries/718994/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 718994,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/718994/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Chea",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1694,
        "legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
        "slug": "mwinga-gunga-chea"
    },
    "content": "Baadhi ya vitambulisho hivi pia vimekuwa vikifika katika vituo, kwa machifu na mahali kwingine vikiwa na makosa fulani fulani. Ningependa kusema ya kwamba wale ambao wanasajili vitambulisho hivi ni muhimi wawe waangalifu ndio tusiweze kuwa na majina ambayo hayaeleweki wakati watu wanapopewa vitambulisho hivi."
}