GET /api/v0.1/hansard/entries/718997/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 718997,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/718997/?format=api",
"text_counter": 114,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Chea",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1694,
"legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
"slug": "mwinga-gunga-chea"
},
"content": "Si vyema kweli kuambatanisha huduma ambazo watu wanastahili kupewa na masuala ya kama wako na kadi ya kura ama la. Kifungu Nambari 38 katika Katiba yetu kinazungumza kuhusu watu kusajiliwa kama wapiga kura na hatimaye kupiga kura zao. Ukiangalia Katiba yote kwa ujumla, iko na haki nyingi sana za kikatiba. Kwa hivyo, kwa mtazamo wangu, ninaona ya kuwa tukizungumza kwamba mtu hajapiga kura, ikifika masuala ya kuchukuliwa wanajeshi ama watu wanaandikwa kwa ajira fulani eti watu hawa wasiweze kupata fursa hiyo, sio sawa. Nasema The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}