GET /api/v0.1/hansard/entries/718998/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 718998,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/718998/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Chea",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1694,
"legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
"slug": "mwinga-gunga-chea"
},
"content": "haya kwa sababu wakati uchaguzi unapofanyika na wakati kura zinapopigwa, hali inarudi sawa na Serikali inahitaji kutoa huduma kwa mtu bila kubagua kama alipiga kura ama hakupiga au alikupigia kura ama hakukupigia kura. Ni jukumu lako kama kiongozi kumhudumia kwa njia mwafaka ndio maana yeye ni mwananchi wa Kenya na anaongozwa na Katiba ya Jamhuri ya Kenya."
}