GET /api/v0.1/hansard/entries/719155/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 719155,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/719155/?format=api",
"text_counter": 59,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Ni jambo la kuudhi. Tunaomba Kamati ya Bunge ambayo inahusika na ujenzi na urekebishaji wa barabara iangalie hizi barabara kwa kila sehemu ya uwakilishi Bungeni hapa. Kila mmoja wetu analilia upande wake angalau watu wake wapate nafasi ya kuanza kuwasiliana, kutembeleana na kufanya shughuli zao kama kubeba mboga, matunda, mizigo na maziwa. Lakini kama hamna barabara, tunatarajiaje nchi hii ipate kuendelea?"
}